FOR WEDDING PLANNING, FASHION DESIGNING, ART DIRECTION AND STYLING CALL +255 717 514179

Wednesday

RANGI YA MWAKA 2015 INAITWA "MARSALA"

today lets share a bit about rangi ya mwaka. Imebadilishwa jina kidogo lakini mimi naona kama ni maroon mpauko.. jaribu kuingalia kwa makini unadhani inatofauti kubwa na rangi ya damu ya mzee (marron)

Wadada unadhani lipstick nyekundu itapumzika?Monday

MAMBO MANNE YAKUYAFAHAMU KUHUSU MISS WORLD 2014 ROLENE (SOUTH AFRICAN)

Rolene Strauss mrembo kutoka nchini south africa ameitoa nchi yake kimasomaso katika shindano la ulimbwende duniani.. akiwa ndio binti wa kwanza kutoka south africa kushinda taji hilo kwa kipindi cha miaka 40 iliyopita.
1. Rolene ni daktari mtarajiwa aliyehairisha masomo yake ya kushinda Miss South Africa. na mama yake ni nesi huku baba yake akiwa ni daktari pia.
2. She drive volvo: mlimbwende huyu anamiliki gari aina ya Volvo nchini kwao south africa.
3. at Age of 15 she won her first title as Elite model Look huku akiwapiku washiriki wengine 11.


4. She is single... haya kama ulikuwa hujui.. ukiachilia mbali uzuri alionao she happens to be single. 

Saturday

Monday

TANZANIA MITINDO HOUSE 7TH ANNIVERSARY AS CAPTURED BY ALBERT MANIFESTER


JUMAPILI HII TANZANIA MITINDO HOUSE TUMETIMIZA MIAKA SABA TANGU KUANZISHWA KWA TAASISI YETU AMBAYO INAHUSISHA WABUNIFU WA MITINDO WA KITANZANIA. TAASISI HII INALEA WATOTO KUMI.

KLYNN NA NANCY SUMARY  WALIKUWEPO PIA.

FOUNDER WA TMH

MC WA SHEREHE  ALIKUWA NI MBUNIFU ASYA IDAROUS
GREEN WAS SOMETHING IN HERE... MYER WITH MARYAM
MNADA TULIFANYA MNADA WA PICHA ILIYOCHORWA NA MTOTO MMOJA WAPO ANAYELELEWA NA TANZANIA MITINDO HOUSE.

MONICA WA MONFINCE NDIYE ALIYENUNUA PICHA HII KWA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MOJA.
MAMA WA MITINDO TANZANIA ASYA IDAROUS, DESIGNER EDNA, MARTIN KADINDA NA ROSE VALENTINE.

MODEL, DESIGNERS AND MAKE UP ARTIST KWA PAMOJA.

MISS MASHA AND HERRY NASSER WALIKUWEPO

KUTOKA MAGIC FM MISHI BOMBA KUSHOTO NA SALMA MSANGI WALIKUWEPO.

Wednesday

WATCH WITH ME "TEEN WOLF" SERIES

Kuna watu tunapenda kuangalia series mostly on weekends or hata baada ya kutoka kazini sometimes hata episode moja.. kwa sasa mimi nafatilia hii hapa... aisee ni kali sana kama hujaanza kuiangalia you should watch it.... najiuliza itaishaje kwa palipofikia hivi sasa daaaaaaah

Wednesday

KWACHUKWACHU SHIRT BY MARTIN KADINDA.AM PROUD OF OUR OWN AFRICAN STYLE WHEN IT COMES TO FASHION.... MY 2014 LOOK FROM MARTIN KADINDA WILL GO AFRICAN.... GET YOUR KWACHUKWACHU SHIRT NOW.

PHOTO CREDIT: ALBERT MANIFESTER

2014 SUPREMACY COLLECTION BY MARTIN KADINDA

 AFTER MY FASHION TOUR IN ASIA... THIS DECEMBER NITAIDHIHIRISHIA TANZANIA I WAS BORN TO BE THE FINEST DESIGNER NDANI YA NCHI YANGU KWA SOKO LANGU LA WATU WA KAWAIDA KABISA..... TAR 7 DECEMBER AT GOLDEN TULIP.. PLEASE BE PART OF THIS BEAUTIFUL FASHION ROAD OF MINE.

Thursday

MY WISH............

NAPENDA KUSIHI SEHEMU NZURI.. NAAMINI KILA MTU ANAPENDA HICHO KITU PIA.... SO LETS SHARE AND TULE KWA MACHO KILE NIKIPENDACHO

Saturday

TALKING TO YOU

I FEEL SO BAD DEEP INSIDE MY HEART, KWA KITAMBO KIREFU I HAVENT POSTED ANYTHING ON MY BLOG.... NAJISHANGAA KABISA KUWA NAKOSAJE HATA DAKIKA 3 TU NIWEKE CHOCHOTE, KIUKWELI MTANDAO AU MITANDAO YETU YA KIBONGO INATURUDISHA NYUMA SANA.. ALL THE BLOGGERS WANAOFANYA VIZURI NA BLOGS ZAO AM SURE WANA WATU WANAOWAANDIKIA POST WAO WANAZIPITIA TU NA HATA KAMA NI WAO BASI HAWANA MUDA WA KUPUMZIKA... MAANA UPDATING ON POST MIGHT TAKE YOU 1 HOUR IF NOT 30MINS... BUT ALL IN ALL... AM WORKING ON MY 2014'TH MATURED MAN COLLECTION, WHICH IT WILL BASE ON AFRICAN PRINT BUT MORE WESTERN.... AM SO EXCITED ABOUT IT... THANK YOU MOC FOR ANOTHER INVITE THIS YEAR TO LONDON.. TOO BAD I COULDINT ATTEND BUT HOPEFUL WILL SEE U IN NOVEMBER... HOPEFUL IT WILL BE COMING TO AFRICAN COUNTRIES SO THAT MANY YOUNG DESIGNER CAN PARTICIPATE... PLEASE IF YOU TRULY FASHION FAN, FAN WA MARTIN KADINDA AND THE THINGS I POST DONT LEAVE ME... JITAHIDI KUPITA HAPA MARA KWA MARA NITAKUWA HEWANI TENA SOON... AND U CAN FOLLOW ME ON INSTAGRAM @martinkadinda TWITTER @martinsurvivor AND FACEBOOK YOU CAN FOLLOW ME PIA NATUMIA  martin survivor kadinda

Thursday

THIS IS TOO MUCH SASA...... APART FROM EVERYTHING WEMA SEPETU HAJAFIKA HUKU....

KATIKA PITAPITA ZANGU NIMEKUTANA NA HII STORI MTANDAONI link ETI WEMA SEPETU ATAPELI LAPTOP... KWELI KABISA MTU UZUSHE JAMBO KAMA HILI? TUNAKOELEKEA BASI UTASIKIA AMEMTAPELI RAISI WA NCHI.... HIVI KWANINI BINADAMU HATUWEZI KUWAONEA HURUMA BINADAMU WENZETU.... BEING MANGER WA WEMA SEPETU ITS NOT KUWA NAPATA CHOCHOTE, AM JUST THE SAME MARTIN MWENYE MAISHA YA KAWAIDA KABISA KAMA MTANZANIA MWINGINE THE ONLY THING ILINIFANYA NIFANYE KAZI NA WEMA WAS THE REALITY. UKWELI ULIO WAZI.. WEMA NABAHATI YA KUPENDWA NA WATU SANA SANA NA NIKAGUNDUA KUNA MENGI ANAWEZA KUYAFANYA KUPITIA FAME YAKE, THATS THE REASON I MADE SURE ANASEHEMU NZURI YA KUISHI, GARI ZURI LA KUTEMBELEANA NA REALITY SHOW INAYOANZA MWISHONI MWA MWEZI AUGUST... NA KUFANYA NAE KAZI NIMEJIFUNZA MENGI.. WEMA LOVES ATTENTION, VERY MUUUUCH AND KIUKWELI ANAUMIZWA SANA NA SKENDO ZAKE MWENYEWE... KWAKUWA ANAFANYA MENGI MAZURI LAKINI YANAYOJULIKANA NA KUUZWA NA MAGAZETI NI MABAYA AMBAYO AMEYAFANYA KUTOKANA NA JAZBA AU MAZINGIRA ALIYOPO. KWA ASILIMIA MIA MOJA NAWEZA KUSEMA WEMA HAYUPO VILE MAGAZETI YALIVYOMPOTRAY... REALITY SHOW YAKE IKIANZA MTAAMINI MANENO YANGU...  BACK TO HAYO YA UTAPELI WA LAPTOP.. SIJAWAHI KUSIKIA SWALA LA KUOMBA LAPTOP KWA YOYOTE KWASABABU SIPO NAE MUDA WOTE AU MAYBE KWAKUWA NAJUA SIO MPENZI WA LAPTOP KIUKWELI... SASA LEO HII NAKUTANA NA STORI ETI AMETAPELI NA MIMI NIMEKUWA NIKIZUNGUMZA NA WAMILIKI WA LAPTOP HIYO.. WE KAKA SIJUI DADA NI LINI UMEZUNGUMZA NA MIMI SWALA LA LAPTOP HEBU MUOGOPE MUNGU WAKO BASI... I TRULY HATE STUDIP PEOPLE WHO TAKES ADVANTAGE OF OTHER PEOPLE JUST TO MAKE THEMSELVES HAPPY.... WEMA WILL ALWAYS BE WEMA KWA WEMA WAKE NO MATTER WHAT.... U BETTER TRY HARD TO BEAT HER UP MAANA SHE AINT JOKE.